Add Your Own Ideas, Strategies, Hints and Tricks:
Answer the questions:
The biggest tips & tricks library, search for hack and cheat codes for top mobile games and apps.
About Audisto
SWAHILI
Audisto Application inakuletea simulizi za kiafrika kutoka kwa waandishi mbalimbali kwa njia ya sauti. Simulizi hizi zimesimuliwa na wasimuliaji maarufu ambao wanatokea Tanzania, Pia Application ya Audisto imejigawa kwenye nyanja aina tofauti kama mapenzi, simulizi za kutisha, simulizi za maisha, na nyinginezo kibao.
Jinsi Ya Kutumia Application
1. Tafuta simulizi kwa jina la mwandishi, aina ya simulizi au jina la simulizi.
2. Tazama ni simulizi gani zinazosikilizwa zaidi.
3. Chuja simulizi kwa nyanja tofauti
4. Tazama maoni juu ya simulizi tofauti.
5. Pata simulizi zilizopendekezwa zaidi
Simulizi nyingi ndani ya audisto application zinapatikana kwa lugha ya Kiswahili, Kiswahili ndio lugha inayoongoza kuzungumzwa Afrika. Simulizi za lugha nyingine kama Kiingereza pia zinapatikana kwenye app ya Audisto.
The Audisto application curates the best African tales from various authors and provide them as audio books.The tales are narrated from the best narrators found in various parts of Africa (mostly Tanzania) ๐น๐ฟ . Audisto application tales categorised into Fiction, Horror, Adventure, Love, Drama and so much more.
Features
1. Search tales by author, genre or title.
2. See which tales are listened more.
3. Filter tales by Category.
4. See Reviews and comments about various books and stories.
5. Obtain recommended books and stories
Most of the tales in Audisto are in Swahili. Swahili is 1 of the most spoken language in Africa. English tales are also available.
New Features:
Audisto Cheats, Hints, Way to Modify, How to Use & How to Win.
Audisto Hack Online Q&A Codes Promotions, How to get an advantage or check more information.
Details: |
Feedback: |
More Info: |
---|---|---|
Device: 5.0 and up | Content: Audisto hack tricks | Rating: 4.068182 |
Latest update: 2020-11-27 | Downloads: 10000-11925 | Type: reviews, guides, tips |
Size: no data | Title: Audisto cheats from players | Device: Android |
Author: MINDTAP (T) LIMITED | File Name: tz.co.mindtap.audisto | Category: Books & Reference |
Added Version: 1.1.77 | Content Rating: Everyone | Game type: Apk |
How to get bonus or discount?
What is your advice for new users?
How would you rate this application?
Do you know any tricks or secrets?
Could you share a short guide and tips?